DAR ES SALAAM CITY JAN 2017

Advertisements

Changamoto za ufundi sanifu nchini Tanzania ni nyingi sana,

Kwanza fundi huna maamuzi na kazi yako unayoifanya especially unapokua unafanya kazi kiwandani

Pili wewe si msemaji wa mwisho wa kazi yako,bosi wako ndio msemaji mkuu wa kile unachokifanya 

Tatu,fundi anaonekana kama ni mtu aliyekosa dira ya kimaisha,au alifeli shule kwahiyo mtu akisomea ufundi ni kama alternative baada ya kufwli level flani katika masomo

Nne,fundi hathaminiwi wala haangaliwi na mara nyingi huonekana kama mtu asiyefahamu analolifanya..

Tano,Fundi hana thamani katika jamii ya hapa kwetu Tanzania 

Emmy Noether – mathematical genius — Herstory – Katrina Mountfort’s blog

The subject of today’s post is a true unsung heroine – not only is she unknown among the general public but few scientists have heard of her, even though Albert Einstein called her ‘the most significant and creative female mathematician of all time’, and the mathematical theorem she developed became the basis for many important […]

via Emmy Noether – mathematical genius — Herstory – Katrina Mountfort’s blog